Harmonize - Kainama

Songs   2024-12-28 10:06:34

Harmonize - Kainama

Konde Boy!

They call me Burna...

It's Platnumz!

[Burna Boy]

Eeeh eeh eeh eeeh

Are you dey make me sit down dey sing this song (dala dala)

You can't dey make me feel like I do you wrong (jaga jaga)

If you want I might go give you more (jala jala)

Today today, you go give me love (sawa sawa ooh)

Eeeh eeeh

Nasifiwa kwa mapenzi na mademu

Wanapagawa mpaka wananiita handsome

Burna Boy, twaeka kila sehemu

Wanapagawa mpaka wananiita handsome

Nasifiwa kwa mapenzi na mademu

Wanapagawa mpaka wananiita handsome

Konde Boy, twaeka kila sehemu

Wanapagawa mpaka wananiita handsome

[Harmonize]

Hadi kaburu kwa mandera

Rudi kwa bibi kinondoni

Amber Lulu kunja dera

Mwanangu Gigi simuoni, aje!

Aah inama (mama)

Aah inuka (baby show them)

Aah inama (hehehee)

Aah shika ukuta (waonyeshe ulivyofunzwa)

Aah inama (ah hii, go down baby)

Aah inuka (give it to them baby)

Aah inama (heeehe)

Aah shika ukuta (ruksa kutunza)

Sio sura sio shepu, mi nikimuona taabani

Hivi si Nuna, Sepetu, Ama nimuite jina gani?

Baby gyal your body killer (wee)

Mwendo kama caterpilar

Miguu ya pombe Tequila

She dey bust my mind

Ba mutu ba Congo kabila

Madongo lunyamila

And she so sweety, Vanilla

She dey bust my mind (oh oh oh)

Nobody sexy like my baby (mmmh)

Tena mwepesi akiwa kwa bedii

Hadi kaburu kwa mandera

Rudi kwa bibi kinondoni

Amber Lulu kunja dera

Mwanangu Gigi simuoni, aje!

Aah inama (mama)

Aah inuka (baby show them)

Aah inama (hehehee)

Aah shika ukuta (waonyeshe ulivyofunzwa)

Aah inama (ah hii, go down baby)

Aah inuka (give it to them baby)

Aah inama (heeehe)

Aah shika ukuta (ruksa kutunza)

[Diamond Platnumz]

Oya gyal dem, toto nyaupole

Ana vimacho mlegezo gololi

Katika game, funga tu goli

Hatumalizagi mchezo ukae goli

Kilima kilima (panda kilima), baby kilima (chii)

Kisima kisima (mamba kisima), naingia kisima

Nizame mpaka chini (ooooh)

Ebu, yaani katoto kachafu kama bata (eeeh)

Ah ah, nami nakafanya ndafu nakang'ata

Salamu ziende kwa Wanjala

Doni Masha, kitasa kwenye bunyeru

Waambie simba kacharara

Anataka msambwanda kwa buku jeru, aje!

[Harmonize]

Aah inama (mama)

Aah inuka (baby show them)

Aah inama (hehehee)

Aah shika ukuta (waonyeshe ulivyofunzwa)

Aah inama (ah hii, go down baby)

Aah inuka (give it to them baby)

Aah inama (heeehe)

Aah shika ukuta (ruksa kutunza)

[Burna Boy]

Eeeh eeeh

Nasifiwa kwa mapenzi na mademu

Wanapagawa mpaka wananiita handsome

Burna Boy, twaeka kila sehemu

Wanapagawa mpaka wananiita handsome

[Diamond Platnumz]

Nasifiwa kwa mapenzi na mademu

Wanapagawa mpaka wananiita handsome

Simba, Mabishoo huniita sehemu

Vile mademu zao nawapita handsome

Konde Boy!

See more
Harmonize more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:R&B/Soul
  • Official site:
  • Wiki:
Harmonize Lyrics more
Harmonize Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved