Saula lyrics

Songs   2024-12-27 00:48:15

Saula lyrics

Ai, ayaya aee

Mwenzako jicho chongo

Kwa mwingine sioni tende

Umenipa magongo nitembee

Niache kuchechema

Tujiepushe na waongo

Hawakosagi cha kusema

Ulinzi nguo za chuma ndongo

Penzi tuenzeke na mahema

Penzi langu la kizigua

Nakupa taratibu (ayee)

Nami uno nalinengua

Washikwe na aibu

Nadhani hawajajua

We ndo unaniharibu (ayee)

Na mwaka huu bwana wataugua

Wakosee wakuadhibu

Unipe mambo ya pwani

Ati mwenzako nina nenge

Kanga moja begani

Uno ulifunge tenge

Ngubara mguu pwani

Kama unaruka seng'enge

Wanibinyie kwa ndani

Nitoke malenge lenge

Saula! Mambo yaweke hadharani

Saula! Kwani unamuogopa nani?

Saula! Uyaweke hadharani

Mbali Saula! Kwani unamuogopa nani?

Saula!

Kama character umelamba dume

Wengine gharasa bado Saula!

Tikitaka kinyume nyume

Mashuti kama Ronaldo Saula!

Karona jiti ka saula

Kajikupa kwa kiwanja

Kibichi bichi ka paula

Wakaja la Masanja eeh

Unipe nisivyopewa

Dini silaha dunia

Nije dem mwenye ningeekewa

Mafisi waje ninunie

Niposti usiogope

Sa unifiche Mobetto (ayee)

Tena mashosti nawaropokwe

Tujichimbie maghetto (ayee)

Unipe mambo ya pwani

Ati mwenzako nina nenge

Kanga moja begani

Uno ulifunge tenge

Eeeh, siku ya kufa nyani

Kinyozi kakosa wembe

Kule mtwara nyumbani

Tunaitanga singenge

Saula! Mambo yaweke hadharani

Saula! Kwani unamuogopa nani?

Saula! Uyaweke hadharani

Mbali Saula! Kwani unamuogopa nani?

Saula!

Laizer on the Mix

Aki binda (aki binda nkuoe)

Yeah (aki binda nkuoe)

Fanya kijipinda pinda (aki binda nkuoe)

Cheza ukiringa ringa (aki binda nkuoe)

Zungusha nyonga madoido (aki binda nkuoe)

Kakupa mama (aki binda nkuoe)

Uno lako firomido (aki binda nkuoe)

Binua bandama (aki binda nkuoe)

It's Lava again na Konde boy

See more
Lava Lava more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Lava Lava Lyrics more
Lava Lava Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved