Unaionaje

Songs   2024-12-30 18:16:33

Unaionaje

Touch!

Haa kumekucha masela hebu chembezeni stick

Manaake mziki hauna hela ila ila hela kuiopata mziki

Sikufichi ambao hawapendi wanakoma

Hasa ndo naua band maana natoboa kila ngoma

Wananisoma ngoma bomba kwa "touch"

Waloniambia nile kone nkaambia wale penalty

Toka jiji la samaki mama alipo nipa siri

Kuwa biashara faster hakuna mwanaharakati tajiri

Pili watu waajabu sana

Ila me na adhabu sana, mabeste

Hapo nilikusoma mwana

Wasanii wanaloga sana, ndo maana mipete (wote chechee)

Wote tunampenda Mungu, maana mpaji hapingiki

Sa vipi anakupa hi huku akisema Mungu akubariki

Siwezi kushiriki kwenye dhambi yako

Ili ukatwe mikono kisha ule kwa macho

Nisipo vuja jasho alokuwa nyuma yangu atakula wapi

Hapo ndo naamini kuwa wenye huruma hanaga bahati

Huu ndo uwezo binafsi vijana m-relaxy

Nakuomba usimtusi baba kama ujui utakula wapi

Na hadithi za sungura me sitaki ehe!

Niletee hadithi za watoto wenye chura wa masaki

Naukisikia nauza sura juu ya laki

Maana uhai ni faida ikiwa hasara ni nafsi

[Harmonize]

Usichoke we kunja

Kunja ukunjavyo me ntatusua

Hizi juhudi sio ndomba

Akisha panga apangavyo uwezi pangua

Asa temeke na ilala

(Ah! ah! unaionaje) he ah!

(I say unaionaje)

Hadi manzese, mabagala

(Ah! ah! unaionaje) he ah!

(I say unaionaje)

Haa! Chuki huletwa na wivu na kushushiana hadhi

Na rafiki ndo atakae kuharibia kazi

Atakupindishia michongo na kukuvunjia nazi

Bongo ukifanikiwa unachukiwa wazi wazi

Ila sisi kazi kazi wengine tumetoka kwenye msoto

Kuoga mpaka tushikwe viboko

Naona umeandaa mkaa arufu hauna kiberiti we mtoto

Chokoza wana wakuwashie moto

Hebu nipite kushoto maana unanichukia

Hata unisaidii unanitukana hata sifatilii sizimi chuku

Maana mwisho kuroga wisho unakuwa

Mchawi kwa maana utamu kunoga

Unaogopa nini toba we binti acha uoga

Mbona unakula beer arufu nguvu niza soda

Sura hashiki poda unasifiwa na mawaki

Kisha unaota mabembe utazani umekula nyati binafsi

Hadithi za sungura me sitaki ehe!

Niletee hadithi za watoto wenye chura wa masaki

Naukisikia nauza sura juu ya laki

Maana uhai ni faida ikiwa hasara ni nafsi

[Harmonize]

Usichoke we kunja

Kunja ukunjavyo me ntatusua

Hizi juhudi sio ndomba

Akisha panga apangavyo uwezi pangua

Asa temeke na ilala

(Ah! ah! unaionaje) he ah!

(I say unaionaje)

Hadi manzese, mabagala

(Ah! ah! unaionaje) he ah!

(I say unaionaje)

See more
Young Killer Msodoki more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Young Killer Msodoki Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved