Hatuna Kesi lyrics

Songs   2024-12-24 13:40:24

Hatuna Kesi lyrics

Ahaa!!

First of all sina bahati ila poa na isije kwangu safii

Kwani siku zote hua naishije

Zingua now upigwe uaibishwe we staki

Nikupe moyo manake mimi nife we ubaki (eh!)

Sikosoi haki ila inatesa acheni

Nasikia aliyegundua pesa pia alikufa na madenii

Sasa si ujinga wa wazi kutumia ngazi chini ya uvungu

Wakati hizi surprise kabla hata ya Harmonize na mzungu

Ok shoutout to my all friends who became a family

Hatufanyi wa mziki trend na hii ndio kauli mbiu kamili

Na ukifahamu hii haushangai hawa pimbi

Wakinitukana ni kawaida kama hizi ndoa za bibi na vijana

Nishakua sasa na maana ya kupata ni kutumia

Tena hali ya sasa hata kwa buku unapata beer

Na supu ukitaka pia we mchuchu uliedata skia

Mi naishi ki rasta japo ni virasta vya kuzugia

Kila sehemu hamuoni kume stuck

Ugumu wa game ndo umefanya hadi kamillion amekua kalaki

So Waambeni hawa watoto wakuwe waache kucheza

Nyimbo zao ambazo ukisema ununue mia tisa inapendeza

Oh green light unataka au hautaki

Mkiwaka tunawapa safii

Tupo guda guda tena mbele ya wakati (sio kesi)

Tushapuuza stress hatutaki (Hatuna)

Hatuna hatuna hatuna hatuna

Ooo yeahh yeah yeah yeah

Hatuna hatuna hatuna hatuna

Hatuna kesi na yoyotee

Hakuna superstar Bongo lete ustar wanakunyea

Utapigwa dongo watakukataa kwa shombo watakupondea

Watoto wa uongo kwenye Makala za umbea

Na huo mjadala utakua mchongo kwa watu wa masuala ya kuongea

Endelea ku-push push

Siokazi kuuza kush bab

Hamuwezi hu-gush gush

Uswazi kuna wazushi mob

Town hadi bush bush

Mduwanzi haunigusi babu

Wahuni tuna tusu-tusua

Hatuifadhi chuki babu

Natoka chocho mtu mbaya naingia kati

dawaya moto ni moto cha ajabu fire hutamia maji

Na ropo ropo waso haya hujitia ushababi

Nyie watoto tuu mnastahiki juma nyosso au billnandy

Mabingwa wa majungu na yasio ingiza noti mifukoni

Mbu hapewi sifa kwa kupigwa kofi mgongoni

Hip hop misingi kuifuata nikutafuta njaa

Nishafeli mara nyingi sijaiacha au kukata tama

Nipo kitaa na wahuni hii (mafanikio)

Suti wanainukisha bangi

Ni kama chupi hakikisha hawaijui rangi

Usawa ukikaba tunalia kwa baba jesca

Tunakaza party na inajaza hakuna anaetumia pesa

Oh green light unataka au hautaki

Mkiwaka tunawapa safii

Tupo guda guda tena mbele ya wakati (sio kesi)

Tushapuuza stress hatutaki (hatuna)

Hatuna hatuna hatuna hatuna

Ooo yeahh, yeah yeah yeah

Hatuna hatuna hatuna hatuna

Hatuna kesi na yoyotee

Hatuna hatuna hatuna hatuna, oyeaaah...

Ilo ndo tatizo sugu so waabieni wana waweke traffic

Nyumba za wageni maana kule watu wanagongana

Hatuna kesi na yoyotee

See more
Young Killer Msodoki more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Young Killer Msodoki Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved