Sina lyrics
Sina lyrics
Wasaaafi
Ayooo Laizer
Hhhm hhhm
Ujana ni maji ya moto
Yashaniunguza mi nataketea
Niliwakana watoto
Wangeniuguza sikutegemea
Na kama dunia tambala langu lishatoboka
Sina hata pa kulala nakesha kwa Kimboka
Wale marafiki niliokula nao
Na kunisifu sasa siwaoni
Eti sina kiki siendani nao
Kwa kuwa sina kitu mfukoni
Kama pesa nilipata nikadharau
Hadi wazazi
Nikakesha kula bata najisahau
Na kumwaga radhi
Ohh sina (ooh yani sina)
Ohh sina (wa kunipa imani)
Ohh sina (ooooh sina mama)
Oooh sina (iyeyeee)
Ohh sina (hata wa kunifariji)
Ohh sina (kunipa moyo niendelee)
Oooh sina (oooh sina mama)
Ohhh sina (oooiyee)
Hhmm
Asiyefunzwa na mama hufunzwa na dunia
Misemo ya wahenga
Family ndugu lawama sikutaka karibia
Kwangu nipokee
Ponda mali eti kufa kwaja (heheheeee)
Kumbe nivukako mbali navunja daraja
Jua likizama nafsi nanyongea mawazo
Nani nimpe lawama
Peke yangu naongea hamnazo
Kama pesa nilipata nikadharau
Hadi wazazi
Nikakesha kula bata najisahau
Na kumwaga radhi
Ohh sina (ooh yani sina)
Ohh sina (wa kunipa imani)
Ohh sina (ooooh sina mama)
Oooh sina (iyeyeee)
Ohh sina (hata wa kunifariji)
Ohh sina (kunipa moyo niendelee)
Oooh sina (oooh sina mama)
Ohhh sina (oooiyee)
Pesa, pesa
Pesa, pesa
Pesa, pesa
Pesa, pesa
Pesa, pesa
Pesa mfano wa poto (Pesa pesa)
Zinapepea sare ndo sindano (Pesa pesa)
Chunga yasije majuto (Pesa pesa)
Tena tekea igeni mifano
Wasafi Records!
- Artist:Harmonize