Show Me lyrics

Songs   2024-12-30 17:31:37

Show Me lyrics

Ayooo Lizer

Wasafi Records

Aah mwenzako I feel so good kipindi nikikuona

Au huo mwendo unafanya kusudi na ulivyoshona

Wakati unakwenda au unarudi wakata kona

Nyuma ka katuni za masudi ulivyonona

Eeeh! Hivi unapenda wa vifua ka roboti

Ama sanamu

Au wazee wa kununua mwaga noti

Akina sallam

[Rich Mavoko]

Oooh oh anita macho kama unaniita (aaahaaaa)

Saa sita shepu vera sidika (aaahaaaa)

Anita macho kama unaiita (aaahaaaa)

Saa sita shepu vera

Ahh show me! Show me!

Show me! (unavyodance)

Show me! Show me!

Show me! (waonyeshe unavyodance)

Aah show me! (eeh) show me!

Show me! (unavyodance)

Show me! (eeh) show me!

Show me! (waonyeshe unavyodance)

[Rich Mavoko]

Umenifinyanga kama dona mmakonde na ndonya

Kama mpira maradona kichuya kona

Na wakisema na mawenge waambie Werrason

Wakiringisha peremende nitakugawia koni

Chunga kipenzi majaribu mabaya sana oooh

Na wewe ndo dokta wa kunitibu niwe salama oooh

[Rich Mavoko]

Oooh baby anita macho kama unaniita (aaahaaaa)

Saa sita kiuno ka yondo sister (aaahaaaa)

Anita macho kama unaniita (aaahaaaa)

Saa sita kiuno ka yondo sister

Ahh show me! Show me!

Show me! (unavyodance)

Show me! Show me!

Show me! (waonyeshe unavyodance)

Aah show me! (eeh) show me!

Show me! (unavyodance)

Show me! (eeh) show me!

Show me! (waonyeshe unavyodance)

(Wasaaafi)

Asa mombasa nairobi (sakata dance)

Kampala kigali (sakata dance)

Zimbambwe kwatobi (sakata dance)

Naija somali ( toto sakata dance)

Wanangu wa panya road (sakata dance)

Chaukucha kwa sadali (sakata dance)

Na unyamani biomi (sakata dance)

Kizonga kwa natali (toto sakata dance)

Aaahaaaa aaahaaaa aaahaaaa (unavyodance)

Aaahaaaa aaahaaaa aaahaaaa (waonyeshe unavyodance)

See more
Harmonize more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:R&B/Soul
  • Official site:
  • Wiki:
Harmonize Lyrics more
Harmonize Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved