Ni Wewe lyrics

Songs   2025-01-10 07:38:28

Ni Wewe lyrics

(REF)

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe

Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe,

mwenye nguvu na uwezo ni wewe

Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe,

mwenye nguvu na uwezo ni wewe

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe

Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe,

mwenye nguvu na uwezo ni wewe

Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima ni wewe,

Mwenye nguvu na uweza ni wewe

Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe,

mwenye nguvu na uwezo ni wewe

Ufanye moyo wangu

uwe wa kukuabudu baba yangu.

Yafanye maisha yangu

yawe ya kukusifu wewe

Maana pweke wastahili

heshima na utukufu

mwenye nguvu na uweza ni wewe.

Peke yako wastahili

heshima na utukufu

mwenye nguuvu na uwezo ni wewe.

(REF)

Nilizaliwa mimi kwa neeema yako,

niliumbwa baba kwa mfano wako.

Yanipasa nikutumikie wewe peke

maana wewe tu ni mwenye nguvu na uweza

Yanipasa nikutumikie wewe peke

maana wewe tu ni mwenye nguvu na uweza

(REF)

See more
Swahili Worship Songs more
  • country:
  • Languages:Swahili, Chewa
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Swahili Worship Songs Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved