Anatimiza - Timiza Ahadi lyrics

Songs   2024-12-23 05:46:51

Anatimiza - Timiza Ahadi lyrics

Mungu wa Ibrahimu ni mungu wetu leo,

mungu wa daniel ni mungu wetu pia habadiliki,

hafananishwi mungu wa isaka, anatimiza ahadi.

Timiza ahadi anatimiza ahadi

Timiza ahadi anatimiza ahadi

Mungu mwaminifu habadiliki kamwe

Yeye atatimiza

Wakati wake Mungu si kama binadamu

Na njia zake mungu ni njia kamilifu

Alivyoahidi baba atatenda

Alivyoahidi baba atatenda

Timiza ahadi anatimiza ahadi

Timiza ahadi anatimiza ahadi

Mungu mwaminifu, habadiliki kamwe

Yeye atatimiza

Yeye atatimiza

Yeye atatimiza

See more
Swahili Worship Songs more
  • country:
  • Languages:Swahili, Chewa
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Swahili Worship Songs Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved