Litawachoma

  2024-06-30 11:26:33

Litawachoma

Mr LG

Habibi lauzi kipenzi changu cha ngama

Mi na wewe hadi milele

Komesha wachokozi wabaki kututazama

Tuwatoe jasho la nywele

Mh! Nimesikia habari

Eti kuna mtu twamkera

Oooh mbona akae tayari

Maana bado muvi hili trela

Na usiku nikumbate (iteh teh teh teh)

Oooh my baby boo (iteh teh teh teh)

Kwa gego ning'ate nga’te (iteh teh teh teh)

You know I love you

Nikizidi ugomvi unichape (iteh teh teh teh)

Silaha runguu (iteh teh teh teh)

Kwenye joto nipepee (iteh teh teh teh)

Mwandani wangu

Penzi letu kwao fayaa

Na litawachoma sana

Mmmh, litawaumaa

Na litawachoma sana

Eh, kwa roho mbaya zenu

Na litawachoma sana

Ooh na hatuachanii

Na litawachoma sanaa

[Diamond Platnumz]

Mmmh! Ada

Kinachotakasa nafsi huba si sabunii

Kwangu usiwe na wasi nishaacha uhuni

Ada kama moyo jiko basi we ndo wangu kuni

Mapenzi soka nipe pasi ntie nyavuni

Tena wasikutishe kwa jumbe zao za kata (kataa)

Mi ndo kamati kuu hapa jimbo umepata (pataa)

Mahaba ni tashtiti na baby unayajua

Siwezi fanya ya shishi uchebe kukubutua

Waambie na ibilisi kwetu wanajisumbua

Huu mfupa kashindwa fisi wao paka utawaua

Dodoo dodo

(Nimeokota dodo na mjani wake)

Nimeokota dodo

(Litaemkera ni shauri zake)

Simba nimelipata dodo

(Nimeokota dodo na mjani wake)

Oh mi mwenzenu dodo

(Litaemkera ni shauri zake)

Na litawachooma

Na litawachoma sana

Mmmh, litawaumaa

Na litawachoma sana

Eh, kwa roho mbaya zenu

Na litawachoma sana

Ooh na hatuachanii

Na litawachoma sanaa

Asa baby nichezeshe ngondo

(Ngondo ngondoigwa ngo)

Ah tulicheze ngondo

(Ngondo ngondoigwa ngo)

Eeeh timbwili timbwili tutimbwilike

(Ngondo ngondoigwa ngo)

Oooooh, mpaka kupambazukee

(Ngondo ngondoigwa ngo)

Eeeeh, ai ngondo

Iyo Lizer

Wasafi!

See more
Zuchu more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:https://www.instagram.com/officialzuchu/
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Zuchu?wprov=sfti1
Zuchu Lyrics more
Zuchu Featuring Lyrics more
Excellent recommendation
Popular
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved