Ashua lyrics

Songs   2024-12-24 11:37:15

Ashua lyrics

[Mbosso]

Aaah aaa, aaaaah

Naah, aaah!

Ah aah ah! ah!

(Mocco)

Marahaba, marahaba habibi

Tunda komamanga la kupachua

Ooh, oh!

Mahaba, mahaba yanzidii

Kindimu changa cha kuchachua

Mmmh mh!

Tamu zaituni

Tunda la peponi nalila (nalila)

Gemu ya sakafuni

Tunadundishana kipira (kipira)

Napewa penzi sabuni

Linalontakasa madhila

Huniita honey hayuuni

Mkali wa tatu bila (bila)

Upepo wa pwani

Umenipeleka bara

Niongoze usukani

Kwenye penzi barabara

Wakati wako tambaa

Ashua (heee)

Ashu ashu, ashua

Ok baby jishongondoe

Ashua (heee)

Ashu ashu (heee), ashua

Na roho zao ziwaume

Ashua, ashu ashu, ashua

Lolololololo, ashua (hee)

Ashu ashu (heee), ashua

Tuwachome mapaka shume

[Zuchu]

Oooh, oh oooh!

Oooh, oh oooh!

Oooh

Kweliii, mambo mazuri hayataki haraka oooh

Haraka ooo, mhhh

Kwa dua nimesubiri nimepewa nilichotaka ooh

Nilichotaka oooh mhhh

Penzi niinalinogesha (noga)

Nampa mchicha ale (noga)

Vinono vya kunenepesha (noga)

Sambusa ya nyama tele (noga)

Kisha namchangamsha (noga)

Namchezea segere (noga)

Mwali kujineng'emusha (noga)

Huku napiga kelele (aah aah aah)

Upepo wa pwani

Umenipeleka bara

Wewe wangu usukani

Kwenye penzi barabara

Wakati wako tambaa

Ashua (heee)

Ashu ashu, ashua

Ok baby jishongondoe

Ashua (heee)

Ashu ashu (heee), ashua

Na roho zao ziwaume

Ashua, ashu ashu, ashua

Lolololololo, ashua (hee)

Ashu ashu (heee)...

[Zuchu]

Wakikuuliza mbona huonekani

Tunacheza solo na zumari ndani

Ehe kuingiza kete shimoni

Tunacheza solo na zumari ndani

[Mbosso]

Makopa kopa kwa malavidavii

Tunacheza solo na zumari ndani

Michezo ya karata kurambisha mavii

Tunacheza solo na zumari ndani

  • Artist:Zuchu
  • Album:I Am Zuchu (2020)
See more
Zuchu more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:https://www.instagram.com/officialzuchu/
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Zuchu?wprov=sfti1
Zuchu Lyrics more
Zuchu Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved