Silent Night! Holy Night! [Swahili translation]
Silent Night! Holy Night! [Swahili translation]
Usiku wa sifa,
wa raha na nuru,
Alipozaliwa Mwana
m-takatifu na mwema,
Mwana ndiye Mungu,
Mwana ndiye Mungu.
Usiku wa sifa,
wachunga bondeni,
Nuru iliwaogofya,
malaika wakaimba,
Kazaliwa Mwana,
Kazaliwa Mwana.
Usiku wa sifa,
neema na amani,
Upendo na ukombozi
umewafikia wote
Kwa Masihi Yesu,
kwa Masihi Yesu.
- Artist:Connie Francis
- Album:Christmas in My Heart
See more








