Shaghala Baghala lyrics
Shaghala Baghala lyrics
Aki mwenzako silali
Na nasumbuliwa nawe
Moyo hupa maswali
Na majibu yake ni we
Sumu ya panya naona kama maziwa
Yaani do, yaani shaghala bhaghala
Unasoma bluetick kisha hujibu
Yaani shaghala bhaghala tu
Wangeweka makombe ningekunywa
Hali mradi nikusahau
Ndo hivyo sijajua, nabaki naomba dua
Unasoma bluetick kisha hujibu
Yaani shaghala bhaghala tu
Penzi umelipiga dodge
Kisha ukaniweka bench
Nguvu sina pumzi sina
Heyoo Classic
My girl gonna take you Tokyo
Trust me girl you gonna be my logo
They never know where me I come from
They never know where me I...
Them speak I know dat..
Hakuna matter sote tutasongaga
Ni hayo we tu lady ...
I love you boo, I love you boo
You are so cool better than them
Unasoma bluetick kisha hujibu
Yaani shaghala bhaghala tu
Wangeweka makombe ningekunywa
Hali mradi nikusahau
Ndo hivyo sijajua, nabaki naomba dua
Unasoma bluetick kisha hujibu
Yaani shaghala bhaghala tu
Baby girl I love you today
Baby girl I love you today
Baby girl I love you today
Baby girl I love you today yeah
Baby girl I love you today
Baby girl I love you today
Baby girl I love you today
Baby girl I love you today yeah
- Artist:Barnaba
- Album:Mapenzi Kitabu (EP) (2020)