Jigi Jigi lyrics

Songs   2024-07-07 09:31:18

Jigi Jigi lyrics

Iyoo iyoo

Aaah aaah

Aaah aaah...

Yaga

Chai changanya na tui, nijifanye sijui

Nimpoteze ma boy

Wali mwenzake tui, paka na chui

Avie ndani

Baya kulazimisha

Penzi kwa mtu asiye kupenda hiyo ni mbaya

Amenilambisha sukari nguru (aiyo)

Ah, heri ungesema tuu

Kama si wangu

Ameniongeza changanya mbaliga zangu

Mtoto black current, mix ya chotara

Umeumbika vya maana natacha gurumbi

[Natacha]

Nikamate kiuno no no no

Nikupe vinono no no

Usije changanyikiwa eeh

Tukiwa kwa bedi

[Natacha]

Tucheze jigijigi Wa! Wa! Wa!

Barnaba majigijigi Wa! Wa! Wa!

Jigijigi Wa! Wa! Wa!

Wa! Wa! Wa! Wa! Wa! Wa!

Tutambe ka cheche Wa! Wa! Wa!

Natacha Wa! Wa! Wa!

Tutambe Wa! Wa! Wa!

Wa! Wa! Wa! Wa! Wa! Wa!

[Natacha]

Mapenzi ya kalenda

Kujitia unanipenda

Njoo Burundi kama unanipenda (aaah...)

Nikupikie mkeke

Kisha nikupepee

Ngongoni nikubebe

(Tukiwa kwa bedi!)

[Natacha]

Tucheze jigijigi Wa! Wa! Wa!

Barnaba majigijigi Wa! Wa! Wa!

Jigijigi Wa! Wa! Wa!

Wa! Wa! Wa! Wa! Wa! Wa!

Tutambe ka cheche Wa! Wa! Wa!

Natacha Wa! Wa! Wa!

Tutambe Wa! Wa! Wa!

Wa! Wa! Wa! Wa! Wa! Wa!

[Natacha]

Tucheze jigijigi Wa! Wa! Wa!

Barnaba majigijigi Wa! Wa! Wa!

Jigijigi Wa! Wa! Wa!

Wa! Wa! Wa! Wa! Wa! Wa!

Tutambe ka cheche Wa! Wa! Wa!

Natacha Wa! Wa! Wa!

Tutambe Wa! Wa! Wa!

Wa! Wa! Wa! Wa! Wa! Wa!

See more
Barnaba more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Barnaba Lyrics more
Barnaba Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved