Unfollow lyrics
Unfollow lyrics
Switch
S2Keez, baby
I saw you liked her picture
What about me?
Unamfuata mpaka Twitter
Now we know what it's gon' be
I saw you liked her picture, yeah
What about me, yeah yeah
Kama hakuna cha kuficha
Why don't you get off her Insta?
Unanikera kera kera kera yeah
Unavyopenya penya kwa peji zake
Unanikera kera kera kera ye-e-eah
Unavyopenya penya kwa peji zake
Heeey yeaah
Macho yanatamani (unfollow)
Moyo unatamani (unfollow)
Anajua mi napata nini
Ndio maana anapost picha zake za ndani
First of all I'm the baddest kwenye peji yake
Don't know what the hell you're looking for
Au labda shapu yake lipsy macho yake
Pengine umedata na dimples.
Hata level zangu huwezi kucompea
Na level za kwake ni simpo
Baby please won't you hear me
If you know that you need me
Unanikera kera kera kera yeah
Unavyopenya penya kwa peji zake
Unanikera kera kera kera ye-e-eah
Unavyopenya penya kwa peji zake
Heeey yeaah
Macho yanatamani (unfollow)
Moyo unatamani (unfollow)
Anajua mi napata nini
Ndio maana anapost picha zake za ndani
Kama mi nakufaa naomba usimfuate
Taratibu atakukaa imani ikutoke
Kama mi nakufaa naomba usimfuate
Taratibu atakukaa imani itoke
Macho yanatamani (unfollow)
Moyo unatamani (unfollow)
Anajua mi napata nini
Ndio maana anapost picha zake za ndani
Unfollow
Unfollow
Unfollow
Unfollow
- Artist:Vanessa Mdee
- Album:Money Mondays (2018)