Raha lyrics

Songs   2024-12-27 17:29:55

Raha lyrics

Mmmmh, mh!

Lalala mmmmh

Lalalala (Iyo Lizer!)

Mmmh, mh!

Lalala mmmmh

Lalala mmmmh (Nursder)

Yaani kwa sauti kasema deka deka

Na mimi najiachia

Kanipa shuruti la kumteka, teka

Silaha kanigawia

Mbezi Kimara hunipeleka peleka

Mpaka mwisho hashuki, hashuki

Kiungo imara hunipenyeka penyeka

Kwa ya nguvu mashuti, mashuti

Oooh oh!

Kaniweka darasani kunifundisha vizuri

Mengi hayajulikani yataka kuyakariri

Kanichorea ramani kopa lenye nyingi siri

Jekundu nje na ndani rangi yake zingifuri

Raha, kupendwa raha (mmh, kupendwa raha)

Raha, jamani raha (naona raha)

Raha (raha), kupendwa raha (ooh, kupendwa raha)

Raha, jamani raha

Eti niende msituni

Zaraninge na matipwili nikamroge

Abadan, ooh abadan

Penzi nichanjie mizaituni

Kwa vilinge na kuzikiri linoge

Aah abadan, aah abadan

Vineno vya kisirani

Kafumwa na mwafulani

Mweupe mara kijani

Inawahusu nini?

Vipimo viso mizani

Kutwa kwenu midomoni

Tumewakaa vichwani

Mtumezee kwinini

Uhh uh!

Ndege asili ya buga kufugwa hawezekani

Mithili ya kivuruga kaumbiwa kutamani

Atenda tafuta boga japo tama libandani

Ende tezi sina woga atarejea ngamani

Raha, kupendwa raha (mmh, kupendwa raha)

Raha, jamani raha (naona raha)

Raha (raha), kupendwa raha (ooh, kupendwa raha)

Raha, jamani raha

Oooh, oh!

Ooooh, oh!

Oooh, oh!

Ooooh, oh!

(Wasafi!)

  • Artist:Zuchu
  • Album:I Am Zuchu (2020)
See more
Zuchu more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:https://www.instagram.com/officialzuchu/
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Zuchu?wprov=sfti1
Zuchu Lyrics more
Zuchu Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved