Kizunguzungu lyrics

Songs   2024-09-17 15:50:50

Kizunguzungu lyrics

Bila shaka huu ugeni sio mwingine wa single for real

Najua ulipenda kuzunguka dunia hii

Na leo umerudi kwa kunipa ripoti mi

Mpaka home ukarejea, mizigo nkakupokea

Mengi ukanielezea, ni mengi umejionea

Hii dunia ina mengi matatizo

Ulimwengu una vingi vikwazo

Kabla hujafanya maamuzi ungepima

Kipi nimetenda kwako ka kimepima

Ni wivu ulikufanya ukasepa

Na mashoga zako wewe wakakuteka

Uko Sodoma, Kampala

Arusha, Mwanza wewe ulionekana

Mama wewe ulionekana, wewe ulionekana

Kumbe kizungu, kumbe kizunguzungu cha mapenzi

Kinamzingua ye

Kumbe kizungu, kumbe kizunguzungu cha mapenzi

Kinamzingua yeye

Alinionyesha upole akitaka msamaha

Aliyoyafanya nyuma kukumbuka jama

Demo si japo pema, hata ukipema si pema tena

Mi nataka kuwa nae, naogopa mi kuwa nae

Moyo wangu wa chuma unajenga kutu

Nataka kuwa nae, naogopa mi kuwa nae

Moyo wangu wa chuma umejenga kutu

Mapenzi ya sasa tapeli, mapenzi ya sasa kwaheri

Umejenga kutu

Kumbe wivu ulikufanya ukasepa

Na mashoga zako we wakakuteka

Uko Uganda, Kampala

Arusha, Mwanza we ulionekana

Mama wewe ulionekana, wewe ulionekana

Kumbe kizungu, kumbe kizunguzungu cha mapenzi

Kinamzingua ye

Kumbe kizungu, kumbe kizunguzungu cha mapenzi

Kinamzingua yeye

Fundi tanga na njia sasa umerudi tena, mama

Kiko wapi ulichokifata, wewe?

Siwezi sema sitopenda tena

Ila naamini umejunza

Najua we ukipenda hayo maisha ya raha

Na mimi kwangu ikaja ikawa karaha

Nasema ne-ne-nenda dada, ne-ne-nenda dada

Najua we ukipenda hayo maisha ya raha

Na mimi kwangu ikaja ikawa karaha

Nasema ne-ne-nenda dada, ne-ne-nenda dada

Kumbe kizungu, kumbe kizunguzungu cha mapenzi

Kinamzingua ye

Kumbe kizungu, kumbe kizunguzungu cha mapenzi

Kinamzingua yeye

See more
Abdukiba more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili
  • Genre:Folk
  • Official site:
  • Wiki:
Abdukiba Lyrics more
Abdukiba Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved