Mwambie Sina

Songs   2024-12-28 00:19:14

Mwambie Sina

Nafsi inalalama sina mwambiee

Kila akinitazama kwa kina kiukweli

Mwambiee silali tena ananipa tabuu

Kwake me sina halii ninampenda yeye tuu

Oohhhoo... Sinaa aah

Sinaa aah Sina mwambie

Yeh ndo dawa ya (dawaaa)

Sinaaa (dawaa)

Sinaa aaaah Sina mwambie Ooohho

Mwambie sinaa

Wa kutamba naye (sina mie)

Mwanbie sinaa

Wa kuringa naye (sina mie)

Mwanbie sinaaaa

Wa kutamba naye (sina mie)

Mwambie sinaaa

Wa kuringa naye (sina mie)

Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)

Kama nyumba me nimpatie iye yeh (me nitambue)

Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)

Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)

Nenda umwambie mimi sina oooh

Wakumpa siri zangu anitunzi moyo

Tena umwambie mimi nipo hoi

Me nampenda haiyo iyo iyooh

Nimependa heshima

Atulie nimueke ndani

Kanichapa usindwa

Kanifunga ndomo siachani

Kuona napata shida

Moyo wayoyoma

Mammy yoyoo mammy yoyoo ... (Wa kutamba naye)

Mwambie sinaaa

Wa kutamba naye (sina mie)

Mwambie sinaaa

Wa kuringa naye (sina mie)

Mwambie sinaaa

Wa kutamba naye (sina mie)

Mwambie sinaaa

Wa kuringa naye (sina mie)

Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)

Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)

Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)

Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)

Ona me nakosa rahaa

Amani sina

Sinaa nachotaka

Wewe ndo wa pekee

Skendo nitende vipi

Wabongo wamtangaze

Wanasema unadanga

Kwangu ni danga chee

Yaani nikope pe chee chee

Alo aloloo kama madebee

Madebe madebe madebee

Kama madebe madebe

Madebe madebe

Badariii mimi nawee

Badariii badariii ooh

Badari badarii mimi nawee

Badariii tutaonana

Mwambie sinaaa

Wa kutamba naye (sina mie)

Mwambie sinaaa

Wa kuringa naye (sina mie)

Mwambie sinaaa

Wa kutamba naye (sina mie)

Mwambie sinaaa

Wa kuringa naye (sina mie)

Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)

Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)

Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)

Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)

Mwambie sinaa

Wa kutamba naye

Mwambie sina

Wa kuringa naye

Mwambie sinaa

Wa kutamba naye

Mwambie sina

Wa kuringa naye

Kama gari me nimpatie iye iee

Kama njumba me nimpatie yee iee

Kama gari me nimpatie iye iee

Kama njumba me nimpatie yee iee

Kama gari me nimpatie iye iee

Kama njumba me nimpatie yee iee

Wa katamba nayeee

See more
Ali Kiba more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Pop-Folk
  • Official site:http://www.IamAlikiba.com
  • Wiki:https://en.wikipedia.org/wiki/Ali_Kiba
Ali Kiba Lyrics more
Ali Kiba Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved