It's Okay lyrics
It's Okay lyrics
Mapenzi ya dhati yo yo yo yo
Si ya kupimana nguvu kwa maneno eh
Mbona hivyo, yo yo yo
Mapenzi ya dhati yo yo yo yo
Si ya kupimana nguvu kwa maneno eh
Mbona hivyo, yo yo yo
Mbona baby siku hizi nakupigia simu haushiki
Na mbona baby siku hizi nakuita lazizi huitiki
Unataka nifanye nini?
Nijitie kitanzi ama vipi?
Mama, nipende kama before, ilivyo
No no no nasema
It's okay, it's okay
Si unitoke, unitoke (si unitoke)
It's okay, it's okay
Si unitoke, unitoke
Uende, uende
Uende, uende
Dada tulia nikufute machozi
Na uwache kuhofia ju ya maana ya mapenzi
Ucho nacho chanitosha, una urembo wa malaika
Lakini ka wataka kuishia, sitakuzuia, no
It's okay, it's okay
Si unitoke, unitoke (si unitoke)
It's okay, it's okay
Si unitoke, unitoke
Uende, uende
Uende, uende
Mapenzi ya dhati yo yo yo yo,
si ya kupimana nguvu kwa maneno eh
Mbona hivyo, yo yo yo
Mapenzi ya dhati yo yo yo yo,
si ya kupimana nguvu kwa maneno eh
Mbona hivyo, yo yo yo
It's okay, it's okay
Si unitoke, unitoke (si unitoke)
It's okay, it's okay
Si unitoke, unitoke
Uende, uende
Uende, uende
- Artist:Sauti Sol
- Album:Live and Die in Afrika (2015)