Biashara lyrics

Songs   2024-12-27 01:48:11

Biashara lyrics

Yes, you have to flip it

2003

Twende biashara boss

Mi na biashara, close Sintara

Flow so tight ask Chris Kantadda

Young Impala, ass like Prada

Na kama huwezi shikanisha basi wee ni falaaaa!

Yeah basi we ni fala

Mi naenda pale kila kitu dola dola

President moi kibaki wanna holla

Na oneeesha kindooole, pole

Tumbo tumbo kubwa kama Rick Ross

Pesa zetu munafanyia what?

Kazi kwa vijana pesa kwa ma boss, wacha kuwa floss

Eti wasanii wataget Ganji 2030

Nitakuwa 54, made it under 30 eehh

Mbere ta mohuko wa shati ya Khaki Jet karatasi

Kari kii? Yah, Kari kii?

Mi ni STL the bigger the better

I emcee on the mic, come test her

Hii biashara ni kaa m-pesa

We send, nta receive, na ka hu send , sikuskii

Biashara ni biashara

Onginyona hau we nie ndigehara

Onginyona hau we nie ndigehara

Onginyona hau we nie ndigehara

Biashara ni biashara

Onginyona hau we nie ndigehara

Khaligraph

Biashara niko busy na mziki ndio huwa Ni grizzy

Na flow ingine maji maji utadhani Gidi Gidi,

In other words niko Tei na Jaba

Ju niliskia pia kukula mei ni swagger

Am from the business land, Nairobi to be specific

Crooked popos na changaa illicit

River road baibe, that’s where u gonna find me,

I be getting ka money fast Conning people hadharani

Nikona mpesa coperative nikona equity

Pesa Ni mingi nimeivisha so me Nina publicity

Paparazzi piga ma Picha then tuzione BBC

Ntashika am mita, biz imejipa ju nime sign na DTP

Biashara baibe what it do miss Stella

Am the man with the power so I’ll make you feel like Cinderella

And am making it shower so hope you got your umbrella

Yo it’s biashara baibe stella go ahead and tell em

Biashara ni biashara

Onginyona hau we nie ndigehara

Onginyona hau we nie ndigehara

Onginyona hau we nie ndigehara

Biashara ni biashara

Onginyona hau we nie ndigehara

Kristoff

Nikiwa na STL siunajua graph huwa ni khali

Ju miupenda kuchew gum unaeza nipata hurli

Asalaam aleikum, waleikum salam

Miupenda Mpesa, Pesa pap na Mshwari

Hustler ambaye upeel doe kama ndizi

Mihu peek n peel, uyu boy sinimjuicy, hisi

Flow chizi ka matiba, na ziko on point ka, AbdubaDida!!

Biashara, leta pesa, Weka doe, kwenye mkeka

Minaleta, hekaheka, Flow nutty ka proffesor

Kristoff, ndo ana tesa, kila time, weka pressure

Pima na tapemeasure, kula Ethiopian, hapo Habesha, (aah)

Anapenda Rose na yeh si Amber

Nikama vindeoo,unaeza thani ni Mkamba

Biashara ndio mi ulamba

Pesa imenifanya mweupe skuizi ka pamba… (Kristoff!)

Biashara ni biashara

Onginyona hau we nie ndigehara

Onginyona hau we nie ndigehara

Onginyona hau we nie ndigehara

Biashara ni biashara

Onginyona hau we nie ndigehara

  • Artist:Stella Mwangi
  • Album:Biashara (feat. Khaligraph Jones & Kristoff) [Biashara] - Single
See more
Stella Mwangi more
  • country:Kenya
  • Languages:English, Swahili
  • Genre:Pop, R&B/Soul
  • Official site:http://stellamwangi.com/
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Stella_Mwangi
Stella Mwangi Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved