Hapana lyrics

Songs   2024-12-24 11:54:20

Hapana lyrics

Hata waseme nini sikuachi

Ndio kwanza umepanda na chati

Umenidhibiti umeshika na shati

Umeshinda umevunja kamati

Mwenzio umejitoa mhanga

Kwenye huba lako

Nichape nipeleke utakavyo

Mimi punda wako

Sitoshika simu yako

Ila shika yangu nimekubali

Hao hao wafiki zako

Wanokusema mimi sikubali

Eti wanasema...

Mara unagawa kwa vipande

Oh unakwenda kwa mpalange

Eti sikwezi nikajipange

Mara nikuache ukadange

Baby mi hapana, kukuacha hapana

Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana

Baby mi hapana, kukuacha hapana

Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana

Hushangai nishakufumania

Ila bado nimeng'ang'ania

Penzi lako limenizidia

Na mwaka huu watanizika

Na si walisema kwamba hubebeki

Leo nakubeba yaani kudadeki

Mmh afe kipa au afe beki

Nishakuwa wako liwalo liwe

Sitoshika simu yako

Ila shika yangu nimekubali

Hao hao wafiki zako

Wanokusema mimi sikubali

Eti wanasema...

Mara unagawa kwa vipande

Oh unakwenda kwa mpalange

Eti sikwezi nikajipange

Mara nikuache ukadange

Baby mi hapana, kukuacha hapana

Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana

Baby mi hapana, kukuacha hapana

Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana

See more
Kusah more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Kusah Lyrics more
Kusah Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved