Wale Watu lyrics

Songs   2025-01-09 08:11:40

Wale Watu lyrics

Mbali ya ma inchi yote

Mbali ya Paris au Roma

Kuna watu masikini

Hawa liye hawa ombe

Wana itika tu vile

Wale watu wana imba

Ata kama wana lala njala

Njo vile... kila siku

Waca ile maneno ya bule

Usiji liliye hali yako

We haujuwe umasikini

Hangaliya wale watu

Hawa liye hawa ombe

Wale watu wana imba

Ata kama wana lala njala

Waca kabisa

Kuwaza kama weye

Haupashwe kujuwa

Mayisha yao

Juwa na siye

Siye mbali yao

Tuna weza kuwasayidiya

Kila siku

See more
Khadja Nin more
  • country:Burundi
  • Languages:Swahili
  • Genre:Pop
  • Official site:http://www.khadja-nin.com/pages/home_gb.html
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Khadja_Nin
Khadja Nin Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved