Wangu lyrics
Wangu lyrics
Nadia, Sana
(Alexis on the beat)
Wewe nani?
Unanipigia simu kama nani?
Ati niachane na mume wako nani
Unajua Nadia kweli mi ni nani
We ni nani?
Unampigia simu kama nani yeah
Hata utoe vya ndani
Atarudi hapa kwangu tu nyumbani
Anapenda vidogo dogo
Mwenzako anavimumunya
Mwanamke unapenda zogo
Tafuta jambo hilo la kufanya
Ooh ni wangu huyu nasema ni wangu
Ooh ni wangu kubali yaishe ni wangu
Ooh ni wangu huyu nasema ni wangu
Ooh ni wangu mwishowe ataisha ni wangu
Hivyo vi message na kuficha simu haivinushtui
Atachoka nawe mwengine aende huyo hakagui
Kelele ya chura haizui ng'ombe kunywa maji
Kwangu habanduki kwako hatoboki nakwama naye
Anapenda wife material
Mwenzako anakudanganya
Mwanamke una kasoro
Tafta jambo hilo la kufanya
Ohh ni wangu huyu nasema ni wangu ooh ni wangu
Mwishowe ataisha ni wangu
Ooh ni wangu huyu nasema ni wangu
Ooh ni wangu kubali yaishe ni wangu
Mi sitakoma koma koma koma
Mi sitakoma koma koma koma mama eee
Mi takukomboa komboa komboa komboa
Mi takukomboa kombo msichana we
Ooh ni wangu huyu anasema ni wangu
Ooh ni wangu mwishowe ataisha ni wangu
Ooh ni wangu huyu nasema ni wangu
Ooh ni wangu kubali yaishe ni wangu
Ooh ni wangu huyu anasema ni wangu
Ooh ni wangu mwishowe ataisha ni wangu
Ooh ni wangu huyu nasema ni wangu
Ooh ni wangu kubali yaishe ni wangu
- Artist:Nadia Mukami
- Album:African Popstar (EP) (2020)