Maombi lyrics
Maombi lyrics
Nadia....
Hoyah hoyah hoyah
Hoyah hoyah hoyah
Nilichopata nikiomba walisema kitakwisha
Nikitoa shukrani hadharani wakasema najigamba
Hao binadamu walinipa wiki
Sasa imepita miaka bado wanasubiri
Kazi ya Mungu haina makosa
Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa
Sio juju ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi
Sio juju ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi
Hoya hoya hoyaaah
Hoya hoya hoyaaah
Hoya hoya hoyaaah
Na mikono nitainua, magoti nipige
Nimweleze jinsi alivyotenda katika Maisha yangu
Kazi ya Mungu haina makosa
Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa
Sio juju ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi
Sio juju ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi
Hoya hoya hoyaaah
Hoya hoya hoyaaah
Hoya hoya hoyaaah
Maneno ya wanadamu, yalinilenga kama mishaleee
Ila Mungu hawezi kubali uangukee
Alichoanzisha leo, lazima atakamilisha weeeh
Kazi ya Mungu haina makosa
Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa
Sio juju ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi
Sio juju ni maombi, ni maombi
Si kelele ni maombi, ni maombi
Si uchawii weeeh
Si uleviii eeeh
Si kwa nguvu zangu mieee
Si KaNadia katambeeeee
- Artist:Nadia Mukami