Uno lyrics
Uno lyrics
Konde Boy
Uno (Yii), everybody say uno
Nasema uno, everybody say uno
Uno likiteguka huwezi kutembea
Masai ruka ruka analinyenyekea
Chumbani kwenye shuka linanitetea
Mzungu kawehuka limemkolea
La kimakonde la kichaga
Eeeh la kichaga
Wengine hadi wanywe pombe ndo wanalimwaga
Eeeh wanalimwaga
Uno la wima wima
Linatokea Congo
Si ndo lile Gwajima
Alimwagia kondooo
Uno, oooh oooh ooh oh
Linawaokoa makahaba bababba
Kuna walong'oa meno sabababa
Ili mtoa ya chibaba
Yaani a, e, i, o
Uno!
Uno! Everybody say uno
Nasema uno! Everybody say uno
Uno! Za migando kama hautaki
Uno! Jipinde kama unakanda chapati
Nasema Uno! Basi lizungushe hadi kwenye bati
Uno! Manga kiza kote varangati
Basi kata taratibu tibu
Usijepata ajali
Uno la Chibu Chibu
Linamkondesha Zari
Uno la RayC
Halinanga mifupa
Ukienda DRC
Kuna Fally Ipupa
Aaah popote wanalimwaga (Uno)
Yaani kinaga ubaga (Uno)
We jaribu kuchunguzaga (Uno)
Uno ndo linalegeza chaga (Uno)
Linawaokoa makahaba bababba
Kuna walong'oa meno sabababa
Ili mtoa ya chibaba
Yaani a, e, i, o
Uno!
Uno! Everybody say uno
Nasema uno! Everybody say uno
Uno! Za migando kama hautaki
Uno! Jipinde kama unakanda chapati
Nasema Uno! Basi lizungushe hadi kwenye bati
Uno! Manga kiza kote varangati
Uno (Yii), everybody say uno
Nasema uno, everybody say uno
(Oooh my God it's Spencer)
- Artist:Harmonize