Psalm 34 [Swahili translation]
Psalm 34 [Swahili translation]
Nilimtafuta Bwana
Naye akanijibu
Na kunikomboa
Toka kila woga
Wanaomtazamia
Hung'aa
Hawataaibika
Hawataaibika kamwe
Mimi mpweke kalia
Naye Bwana kanisikia
Na kuniokoa tokana na
Maahasidi wangu
Mwana Wa Mungu
Awazunguka wake
Atawakomboa
Atawakomboa
Kamtukuze Bwana nami
Njoo tuliinue Jina lake
Mtukuze Bwana pamoja nami
Njoo tuliinue Jina lake milele
Kaonje na ujionee
Kwamba Bwana Yu mwema
Amebarikiwa yule
Ajifichaye ndani Yake
Kamhofu Bwana
Enyi wateule
Naye atawapa vyote
Naye atawapa vyote
Tumbariki Bwana
Kila usiku na mchana
Kwa sifa zisizokoma
Na ubani wetu uinuke
Kaonje na ujionee
Kwamba Bwana Yu mwema
Amebarikiwa yule
Ajifichaye ndani Yake
- Artist:Brooklyn Tabernacle Choir
See more