Niroge lyrics
Niroge lyrics
Raha ya nyumba mwanaume
Wacha nikutunze
Nyumba yetu tuipambe
Hapo nyuma tulishindiaga mabwende
Karanga na Makande
Nguru, Ugali dona sembe
Usinune kwa maneno ya majirani (wanoko)
Hawaishi (longo longo)
Vimaneno kama (viroboto)
Wanakesha wakiomba unichapege mkong’oto
Jamani sielewi, baby you are…
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Tabasamu usoni)
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Anatabasamu usoni)
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Sikusifii
We mwanaume nguzo,
Ulishindaga vikwazo
Tangu Mwanzo
Ulipambana na wenye nazo
Ili niwe mali yako
Leo, kula vyako
You’re my dream in my life
Hata mi moyoni we ndiyo unanifaa
Usinune kwa maneno ya majirani (wanoko)
Hawaishi (longo longo)
Vimaneno kama (viroboto)
Wanakesha wakiomba unichapege mkong’oto
Jamani sielewi, baby you are…
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Tabasamu usoni)
Ukimwona
(Furaha tele moyoni)
Nikimuona
(Anatabasamu usoni)
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Kwani mapenzi matamu
Naomba uniroge
Naomba uniroge
Naomba uniroge
To the left, to the right
(spending my life)
To the left, to the right
(spending my life)
To the left, to the right
(spending my life)
To the left
(Kwani mapenzi matamu)
- Artist:Vanessa Mdee