Kuliko Jana lyrics

Songs   2025-12-05 16:55:39

Kuliko Jana lyrics

Bwana ni mwokozi wangu

Tena ni kiongozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi

Si kama binadamu habadiliki

Ananipenda leo kuliko jana

Kuliko jana, kuliko jana

Yesu nipende, leo kuliko jana

Kuliko jana, kuliko jana

Yesu nipende, leo kuliko jana

Nakuomba Mungu uwasamehe

Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema

Na maadui wangu nawaombea

Maisha marefu, wazidi kukuona ukinibariki

Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana

Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika

Ujue binadamu ni watu wa ajabu sana

Walimsulubisha Yesu Masiah bila kusita

Bwana ni mwokozi wangu

Tena ni kiongozi wangu

Ananipenda leo kuliko jana

Baraka zake hazikwishi

Si kama binadamu habadiliki, yeah

Ananipenda leo kuliko jana

Kuliko jana, kuliko jana

Yesu nipende, leo kuliko jana

Kuliko jana, kuliko jana

Yesu nipende, leo kuliko jana

Wewe ndio nategemea,

Kufa kupona baba nakutegemea (amen)

Chochote kitanikatsia

Kuingia mbinguni utaniondolea (oooh oooh yeah)

Wewe ndio nategemea (amen)

Kufa kupona baba nakutegemea (oh, oh)

Chochote kitanikatsia

Kuingia mbinguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea)

Wewe ndio nategemea

Kufa kupona baba nakutegemea (eh, bwana)

Chochote kitanikatsia

Kuingia mbinguni utaniondolea (eh, maisha yangu yote)

Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote)

Kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)

Chochote kitanikatsia

Kuingia mbinguni utaniondolea (oooooh)

Na bwana ni mwokozi wangu (amen)

Na tena ni kiongozi wangu (amen)

Ananipenda leo kuliko jana (amen)

Baraka zake hazikwishi (amen)

Si kama binadamu habadiliki (amen)

Ananipenda leo kuliko jana (amen)

Kuliko jana, kuliko jana

Yesu nipende, leo kuliko jana

Kuliko jana, kuliko jana

Yesu nipende, leo kuliko jana

Wewe ndio nategemea (wewe)

Kufa kupona baba nakutegemea (wewe)

Chochote kitanikatsia (uh-huh)

Kuingia mbinguni utaniondolea

Wewe ndio nategemea (oooh)

Kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)

Chochote kitanikatsia

Kuingia mbinguni utaniondolea

Na bwana ni mwokozi wangu (amen)

Na tena ni kiongozi wangu (amen)

Ananipenda leo kuliko jana (amen)

Baraka zake hazikwishi (amen)

Si kama binadamu habadiliki (amen)

Ananipenda leo kuliko jana (amen)

Kuliko jana, kuliko jana

Nipende, leo kuliko jana

  • Artist:Sauti Sol
  • Album:Live and Die in Afrika (2015)
See more
Sauti Sol more
  • country:Kenya
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Folk
  • Official site:http://sauti-sol.com/
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Sauti_Sol
Sauti Sol Lyrics more
Sauti Sol Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved