Unaniweza lyrics

Songs   2025-01-06 00:39:12

Unaniweza lyrics

Abbah!

Mlio ukicheka wee

Mi moyo unanitabasamu

Huyo mwenye kujihisi mwororo

Ila ukilia we

Hata kula nakosa hamu

Huo mwenye kujihisi dororo

Ukiwa karibu na mie, najiona bora

Lakini ukiwa mbali baby baridi linachoma

Uwepo wako na mie, umetia fora

We ndo dakitari, darling nikutaka pona

Unaniweza weza

Unaniweza weza

Unaniweza weza

Unaniweza weza

Sitamani mwingine

Wala sidhani ka ataweza kutokea

Maana mambo yako moto

Moto moto

Labda uvito shetani mwingine

Maneno ya watu nishazoea, I don't care

Kila kukicha choko choko

Choko choko

Unavyonipa raha

Tu nanenepa mie

Penzi lako natinga, naringa nambembea eeh

Kinachokufaa usisite niambie

Kwako niko radhi

Hata zege nibebe, machinga ninadishe

Ukiwa karibu na mie, najiona bora

Lakini ukiwa mbali baby baridi linachoma

Uwepo wako na mie, umetia fora

We ndo dakitari, darling nikutaka pona

Unaniweza weza

Unaniweza weza

Unaniweza weza

Unaniweza weza

For love, for love

For love, for love

I do it for love

Unaniweza weza

  • Artist:Jux
  • Album:The Love Album (2019)
See more
Jux more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Folk
  • Official site:https://www.facebook.com/africanboyJUX/
  • Wiki:
Jux Lyrics more
Jux Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved