Sumaku lyrics

Songs   2024-06-25 01:26:11

Sumaku lyrics

Vee Money on the track yeah

(Its S2kizzy baby)

Shawty badder

She got me high kama beat ya S2kizzy

Nisipomuona sekunde nammiss

Najiuliza amenipa ninii?

Kila stori ninayopiga ye ndo mada

Nangombana kabisa wakimdiss

Na kuumia kwa moyo nahisi

Najuliza amenipa niniii?

Namkunja kabisa kama kambare

Nashinda kabisa sitaki sare

Hakuna kunguri mambo ya chare

Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare

Ananivuta vuta kama magneti

Belong to you, belong to me baby

Ananivuta vuta kama magneti

Duu na duu na duu na duu baby

Ananivuta vuta kama magneti

Yeah, yeah, yeah...

Ananivuta vuta kama magneti

I do, I do, I do, ooh yeah

Sumaku! sumaku! sumaku!

Sumaku! sumaku! sumaku!

Sumaku! sumaku! sumaku!

Sumaku! sumaku!

[Vanessa Mdee]

Baby please, tell me you want more

What you like about the feeling?

Honestly, I wanna show you am feeling you too

Lemme take you to a nice place, tuzime taa

Nivute nikunase, utashangaa

Nikupe vitu vyote, upate raha

Am caught up in you and am tempted to stay up

For sure

Nipepee (oooh baby)

Nikikuona nazubaa (oooh baby)

Ooh baby (oooh baby)

Ninapandwa na kichaa (oooh baby)

Namkunja kabisa kama kambare

Nashinda kabisa sitaki sare

Hakuna kunguri mambo ya chare

Mtu wa Mungu, mtoto wa kipare

Ananivuta vuta kama magneti

You belong to me, I belong to you baby

Ananivuta vuta kama magneti

I do, I do, I do baby

Ananivuta vuta kama magneti

You belong to me, I belong to you baby

Ananivuta vuta kama magneti

I do, I do, I do for you

Sumaku! sumaku! sumaku!

Sumaku! sumaku! sumaku!

Sumaku! sumaku! sumaku!

Sumaku! sumaku! sumaku!

Anatuvua

Kila akitupa nyavu (anachukua)

Aah visenti vyetu vyote (anatuvua)

Aah mama kila akitupa nyavu (anachukua)

Hatutoki eeh (anatuvua)

Aah-ah akitupa nyavu (anachukua)

Yaani visenti vyetu vyote (anatuvua)

Mama mama ma.. (anachukua)

Yeee ye ye ye ye

  • Artist:Jux
  • Album:The Love Album (2019)
See more
Jux more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Folk
  • Official site:https://www.facebook.com/africanboyJUX/
  • Wiki:
Jux Lyrics more
Jux Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved