Umenikamata lyrics

Songs   2025-01-06 00:55:09

Umenikamata lyrics

AM Records

Nisikilize ninavyoimba

Na pia navyopiga gitaa

Naona watu wamependeza

Nyuso zao zimejaa furaha (furaha ahh)

Najua ujue leo hii

Kitatokea nini

Najua ujue leo hii

Nitakuambia nini (nitakuambia nini, darling)

I do this for you, this for you

I do this for you, this for you (I do this for you)

I do this for you (I do this for you)

These for you (I do this for you)

I do this for you (I do this for you)

These for you (I do this for you)

Najua napenda kukuona wewe

Ukiwa na furaha

Najua thamani na heshima yako

Kweli unanifaa

Umenikamata weee

Umenikamata

Umenikamata weee

Umenikamata

Haki ya Mungu wewe ni mzuri

You are so beautiful

Na mungu kakujalia

Huna chembe ya kiburi

Wewe ni msafi wa roho

I don't wanna let you go

I wanna marry you, girl

And nothing comes between us

I'm gonna give you my loving

And make them wanna be us

I do this for you, this for you

I do this for you, this for you (I do this for you)

I do this for you (I do this for you)

These for you (I do this for you)

I do this for you (I do this for you)

These for you (I do this for you)

Najua napenda kukuona wewe

Ukiwa na furaha

Najua thamani na heshima yako

Kweli unanifaa

Umenikamata weee

Umenikamata

Umenikamata weee

Umenikamata

Mamy namuomba Mungu, yeah

Akulinde (akulinde)

Akutunze na watoto uniletee

Wewe ni furaha yangu (yangu)

Maisha yangu ni wewe

Ni weeee

Najua napenda kukuona wewe

Ukiwa na furaha ahhhh

Najua thamani na heshima yako

Kweli unanifaa

Umenikamata weee

Umenikamata

Umenikamata weee

Umenikamata

See more
Jux more
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:Folk
  • Official site:https://www.facebook.com/africanboyJUX/
  • Wiki:
Jux Lyrics more
Jux Featuring Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2025 - www.lyricf.com All Rights Reserved