Msalabani Pa Mwokozi [Down at the cross] lyrics
Msalabani Pa Mwokozi [Down at the cross] lyrics
Msalabani pa Mwokozi Hapo niliomba upozi,
Moyo wangu ulitakaswa, Na asifiwe.
(REF)
Na asifiwe, Na asifiwe
Alinikomboa kwa damu, Na asifiwe.
Chini ya mti msumbufu Niliomba utakatifu,
Alinikomboa kwa damu, Na asifiwe.
(REF)
Kwa ajabu ninaokoka, Yesu anakaa moyoni;
Mtini alinifilia, Na asifiwe.
(REF)
Damu ya Yesu ya thamani Huniokoa makosani;
Huniendesha wokovuni, Na asifiwe.
(REF)
- Artist:Swahili Worship Songs
See more