Fanya lyrics

Songs   2024-12-27 08:54:12

Fanya lyrics

Aaaah Danny Gift mara tena

Na Bahati tena, tena

Najua leo utafanya (fanya)

Kuliko ulivyo fanya jana (fanya)

Fanya fanya

Fanya fanya eeeh

Najua leo utafanya (fanya)

Kuliko ulivyo fanya jana (fanya)

Fanya fanya

Fanya fanya

Nina madeni hadi kwa mama mboga

Nina madeni haki leo katanuka

Vile naona, kashaanza kunuka

Usiposhuka, baba leo katanuka (fanya)

Natumia storo, bonga

Kusema vile we ni donga

Na beat vile inagonga

Hebu sifika kwa hii ngoma

Natumia storo, bonga

Kusema vile we ni donga

Na beat vile inagonga

Hebu sifika kwa hii ngoma

Natumia storo, bonga

Kusema vile we ni donga

Na beat vile inagonga

Ebu sifika kwa hii ngoma

Najua leo utafanya (fanya)

Kuliko ulivyo fanya jana (fanya)

Fanya fanya

Fanya fanya eeeh

Najua leo utafanya (fanya)

Kuliko ulivyo fanya jana (fanya)

Fanya fanya

Fanya fanya

Nikikuona ata shida zitaona

Nikikuona na vipofu wataona

Nikikuona ata shida zitaona

Nikikuona na wagonjwa watapona

Baba fanya (fanya)

Natumia storo, bonga

Kusema vile we ni donga

Na beat vile inagonga

Ebu sifika kwa hii ngoma

Natumia storo, bonga

Kusema vile we ni donga

Na beat vile inagonga

Ebu sifika kwa hii ngoma

Najua leo utafanya (fanya)

Kuliko ulivyo fanya jana (fanya)

Fanya fanya

Fanya fanya eeeh

Najua leo utafanya (fanya)

Kuliko ulivyo fanya jana (fanya)

Fanya fanya

Fanya fanya

Najua leo utafanya (fanya)

Kuliko ulivyo fanya jana (fanya)

Fanya fanya

Fanya fanya

Najua leo utafanya (fanya)

Kuliko ulivyo fanya jana (fanya)

Fanya fanya

Fanya fanya

See more
Bahati more
  • country:Kenya
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:
Bahati Lyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved