Jambo Bwana [Croatian translation]

Songs   2024-12-01 15:55:16

Jambo Bwana [Croatian translation]

Jambo, Jambo bwana,

Habari gani,

Mzuri sana.

Wageni, Wakaribishwa,

Kenya yetu Hakuna Matata.

Kenya nchi nzuri,

Hakuna Matata.

Nchi ya maajabu

Hakuna Matata.

Nchi yenye amani,

Hakuna Matata.

Hakuna Matata,

Hakuna Matata.

Watu wote,

Hakuna Matata,

Wakaribishwa,

Hakuna Matata.

Hakuna Matata,

Hakuna Matata. (till end)

See more
Kenyan Boys Choir more
  • country:Kenya
  • Languages:Swahili
  • Genre:
  • Official site:
  • Wiki:http://en.wikipedia.org/wiki/Kenyan_Boys_Choir
Kenyan Boys Choir Lyrics more
Kenyan Boys Choir Also Performed Pyrics more
Excellent Songs recommendation
Popular Songs
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved